Baba wa Alikiba afariki dunia
Baba mzazi wa mshambuiaji wa klabu ya Coastal Union Ali Saleh Kiba, Mzee Saleh Kiba amefariki dunia leo Alfajiri katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Tunatoa pole kwa familia ya Ally Kiba, ndugu jamaa na marafiki wote.
Inna lillahi wainna ilayhi rraajiun. Poleni sana wanafamilia wote wa King Kiba