Spurs yapata pigo kubwa
Tottenham Hotspur wamethibitisha kuwa mshambuliaji wao Harry Kane ambaye aliumia kifundo cha mguu wake wa kushoto katika mechi dhidi ya Man United juzi jumapili, atakuwa nje ya uwanja mpaka mwezi Machi mwaka huu
Hili ni pigo kubwa kwa kocha wa Tottenham Maurcio Pochettino kutokana na utegemezi wake mkubwa kwa mshambuliaji huyo anayependa kucheka na nyavu.