Makambo achukua tena tuzo ligi kuu
Mshambuliaji wa Yanga SC Heritier Makambo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara kwa mwezi Disemba.
Hii ni mara ya pili mfululizo Makambo anachukua tuzo hiyo