Zahera abeba tuzo tena
Kocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi Disemba ligi kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara yake ya pili mfululizo kuchukua tuzo hiyo.
Hii ni mara ya 3 msimu huu wa ligi kuu Tanzania Bara kocha huyo ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi.