Ramadhani Kabwili apelekwa hospitali ya Mount Meru
Golikipa wa Yanga Ramadhani Kabwili amepelekwa kwenye hospitali ya Mount Meru Arusha kwa matibabu zaidi kufuatia majeraha ya nyonga aliyoyapata mnamo dakika ya 40 kwenye mchezo wa leo dhidi ya African Lyon.
Get Well Soon Champion Ramadhani Kabwili