CORONA YAVUNJA KAMBI YA TIMU YA TAIFA
Shirikisho la soka la Tanzania (TFF) limetangaza kuvunja kambi ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ iliyokuwa imewekwa kujiandaa na michuano ya CHAN. Maamuzi hayo yamekuja katika kutekeleza agizo la serikali ya Tanzania kuhusu kujikinga na virusi vya Corona. Michuano ya CHAN imepangwa kuchezwa mwaka huu kuanzia April 4 mpaka April 25 nchini Cameroon na mpaka …
Read more