LALIGA YASIMAMISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA
Viongozi wa soka wa Hispania wamesimamisha ligi ya soka nchini humo LaLiga kwa muda usiojulikana baada ya virusi vya Corona kuua zaidi ya watu 2000 nchini humo, ikiwa ni nchi ya pili kuathirika zaidi barani Ulaya nyuma ya Italia. Shirikisho la soka nchini humo RFEF limetangaza pia ligi zote za nchi hiyo zitasimama mpaka pale …
Read more