MAAZIMIO MANNE YA BODI YA LIGI, BAADA YA SERIKALI KUSIMAMISHA MICHEZO
Bodi ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi (TPLB) imetangaza maazimio manne baada ya Serikali kusimamisha shughuli za michezo nchini. – Kusimamisha ligi zilizo chini yake.– Kuwapima wachezaji pindi ligi itakapoendelea tena.– Ligi kuchezwa bila mashabiki baada ya siku 30.– Kukamilisha ligi mwezi Juni.
Read more