CRISTIANO RONALDO AFUNGUKA KUHUSU HALI YA MAMA YAKE
Staa wa soka Ulimwenguni Dunia Cristiano Ronaldo amethibitisha kuwa mama yake mzazi anaendelea vizuri kwa sasa baada ya kuumwa (ischemic stroke) na kukimbizwa na kulazwa Hospitali huko Madeira. Katika taarifa aliyotoa Ronaldo jana usiku ilisema : “ Ahsante wote kwa meseji zenu za ‘support’ kwa mama yangu “Kwa sasa yupo imara na anapata nafuu Hospital. …
Read more