TYSON FURY AMPIGA WILDER KWA TKO
Bondia wa Uingereza Tyson Fury ameshinda pambano lake la marudiano dhidi ya Deontay Wilder kwa TKO raundi ya 7 na kutangazwa kuwa bingwa mpya wa WBC wa uzito wa juu. Pambano hili likipigwa MGM Grand, Las Vegas Marekani, lilikuwa pambano lililosubiriwa kwa hamu, Tyson Fury akisaka ushindi kwa nguvu baada ya kuona alinyimwa ushindi kwenye …
Read more