EPL YASIMAMISHWA MPAKA APRIL 04
Ligi kuu nchini England imesimamishwa mpaka April 04 kutokana na virusi vya Corona.
Read moreLigi kuu nchini England imesimamishwa mpaka April 04 kutokana na virusi vya Corona.
Read moreKocha wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta akutwa na maambukizi ya virusi vya Corona na wale wote ambao wamekuwa karibu nae wakiwamo kikosi cha kwanza,watajitenga ili kufuata muongozo wa serikali. Kufuatia kocha huyo kukutwa na maambukizi hayo,sasa inawezekana ligi kuu nchini England kusimamishwa kwa sababu kujilinda na maambukizi ya virusi hivyo. Uongozi wa ligi kuu …
Read moreKlabu ya Juventus imethibitisha nyota wao Cristiano Ronaldo ataendelea kubakia mjini kwao Madeira,Ureno kwa kipindi hiki ambacho kuna mlipuko wa maambukizi ya Virusi vya Corona. Cristiano aliondoka Italia kwenda Madeira Jumatatu hii Machi 9 kwa ajili ya kumuona mama yake ambaye ni mgonjwa na pia kusheherekea siku ya kuzaliwa ya dada yake. Habari hii Juventus …
Read moreKlabu ya Man United inataraji kumlipa Pauni 350 (Tsh Milioni 1) kila shabiki aliyenunua tiketi ya mechi yao ya Europa League ya ugenini dhidi ya timu ya LASK ya Austria, ambapo kwa ujumla ni Pauni 245,000 (Tsh Milioni 708) kwa mashabiki 700 walionunua tiketi. Maamuzi hayo yanakuja baada ya mchezo huo utakaochezwa leo kuthibitishwa kuwa …
Read more“Kipa wetu ni bora Duniani. Anaamua mchezo kama vile Messi anavyofanya kwa Barcelona” — Haya ni maneni ya kocha wa Atletico Madrid Diego Pablo Simeone baada ya kuwatupa nje mabingwa watetezi wa michuano ya klabu Bingwa Ulaya Liverpool. Usiku wa jana Liverpool watamkumbuka Jan Oblak,kuliko Marcos Llorente ambaye aliwafunga goli mbili. Jan Oblak ndiye aliyeibuka …
Read moreMsimu huu wa NBA umesimamisha kwa ajili ya kujilinda na maambukizi ya virusi vya Corona. Maamuzi hayo yametolewa baada ya mchezaji wa Utah Jazz,Rudy Goberty kukutwa na maambukizi ya virusi hivyo
Read moreNi Bernard Morrison ndiye aliyepelekea shangwe mitaa ya jangwani na huzuni kutawala Msimbazi.Goli lake la mpira wa adhabu dakika ya 44 dhidi ya kipa Aishi Manula ndilo lililodumu mpaka filimbi ya mwisho ya Martin Saanya kutoka Morogoro. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili katika ligi kuu Tanzania bara msimu huu baada ya ule wa …
Read moreSimba SC leo wamecheza mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Azam FC n akuifunga kwa mabao 3-2 uwanja wa Taifa Ushindi wa Simba SC kwa magoli ya Erasto Nyoni dakika ya 9, Deogratus Kanda dakika ya 16 na Meddie Kagere dakika ya 72 yanatafsirika kama salamu kwa watani zao wa jadi Yanga …
Read moreSerikali ya Italia imeripotiwa kuwa imeamua michezo ya Ligi Kuu ya Italia (Serie.A) iendelee kama kawada, ila bila mashabiki kuruhusiwa kuingia uwanjani kwa hofu ya ugonjwa wa corona unaweza kuenea kwa haraka zaidi, zoezi hilo litaisha ,April 30 kwani ndio watakuwa na majibu mapya.
Read moreRais wa shirikisho la soka la Afrika CAF Ahmad Ahmad anataraji kuwasili nchini Tanzania Machi 7 kwa ziara yake ya siku tatu kwa mwaliko wa TFF. Katika Ziara hiyo Ahmad Ahmad atahudhuria mechi ya watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba itakayopigwa Jumapili Machi 08 Uwanja wa Taifa Dsm. Hii itakuwa ni mara ya kwanza …
Read more