Simba, Yanga na Azam kupumzika kupisha maandalizi Taifa Stars
Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara zinazozihusu timu za Azam FC , Simba SCĀ na Young Africans zilizopangwa kufanyika wiki ya kwanza ya Novemba zimeahirishwa kupisha maandalizi ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuelekea mechi dhidi ya Lesotho itakayochezwa Novemba 18, mwaka huu kwaajili ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya …
Read more