Wenger: “ Siwezi kurudi kufanya kazi England “
Arsene Wenger amefufua upya habari ya yeye kurudi katika soka mapema mwanzoni mwa mwaka ujao ila sasa amesema haitokuwa nchini England. Akihojiwa na kituo cha Sky Sports katika wa Wembley Mfaransa huyu aliyeshinda mataji mengi ya FA (7) kuliko meneja mwingine yeyote kwenye historia na hata kuliko baadhi ya timu kubwa alisema “Nipo hapa Wembley …
Read more