Matokeo ya uchaguzi Simba
Kura zilizopigwa kwa mwenyekiti alieshinda: Mwenyekiti -Sued Mkwabi kura 1579 kati ya 1628 Kura walizopigiwa waliokuwa wanagombea nafasi ya Ujumbe kwenye Bodi: Asha Baraka. -1180 Hussein Kitta. – 958 Dr Zawadi Ally Kabunda – 830 Seleman Harub. -740 Mwina Kaduguda -577 Elia Alfred Martin. -530 Juma Pinto. – 440 Jasmin Soud. – 368 …
Read more