Jopo la madaktari limethibitisha Messi kawafata Inter Milan
Nahodha na mshambuliaji wa klabu bingwa nchini Hispania Lionel Messi amejumuishwa kwenye safari ya kuelekea Italia, kwa ajili ya mchezo wa mkondo wanne wa ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi dhidi ya Inter Milan. Messi amejumuishwa kikosini, baada ya kuwa majeruhi kwa muda wa majuma mawili, kufuatia kuteuka mkono akiwa katika mchezo wa …
Read more