Wachezaji wa Leicester City kufanya maamuzi kuhusu mechi ya Cardiff City.
Wachezaji wa Leicester City wapo katika mpango wa kuahirisha mchezo wao wa ligi wikiendi hii dhidi ya Cardiff City kutokana na kupata msiba wa kufiwa na mmiliki wao Vichai Srivaddhanaprabha. Wachezaji hao jana walikuwa katika uwanja wa King Power wakitoa heshima kwa tajiri huyo ambaye amepoteza maisha kwa ajali ya Helikopta iliyotokea Jumamosi nje ya …
Read more