Barcelona yamuweka pabaya Julien Lopetegui
El Clasico ya kwanza bila Cristiano Ronaldo na Lionel Messi tangu mwaka 2007. Hii ilikuwa ni mechi watu wa soka walikuwa wakiingoja kuona ni nani atakuwa nyota wa mchezo, Luis Suarez anawapa majibu hayo katika dimba la Camp Nou, akifunga goli tatu na kuondoka na mpira kwenye ushindi wa 5-1 nyumbani. Philippe Coutinho ndiye aliyekuwa …
Read more