SABABU ZILIZOPELEKEA KUCHELEWA KUSOGEZWA MBELE KWA MASHINDANO YA OLYMPIC 2020
Uamuzi wa Kimataifa ya Olympiki (IOC) kutangaza kusogeza mbele mashindano ya Olympic na Paralympic 2020 umechukua muda hata baada ya msukumo toka kwa wanamichezo na nchi washiriki zikiwamo Canada, Australia na Uingereza. Sababu kubwa zilizopelekea muafaka huu kuchelewa fikiwa zilikuwa sababu za kibiashara na kifedha kwa mashidano haya yenye bajeti ya dola billion 12.6 (takribani …
Read more