WALKER KUPIGWA FAINI KWA KUFANYA PART YA NGONO
Staa wa Man City Kyle Walker alivunja sheria za Lockdown huko Uingereza baada ya kufanya sherehe ya ngono akiwa na rafiki yake pamoja na wasichana wawili wanaojiuza wiki iliyopita Moja ya wasichana hao wamesema beki huyo aliwaalika kwa ajili kufanya mapenzi kwa saa tatu——siku moja kabla ya mchezaji huyo kutoa ushauri kwa mashabiki kuhusu kukaa …
Read more